Entertainment

Angekuona Lyrics By Aslay

Aslay “Angekuona” Lyrics

image
Aslay

Verse 1

Yani raha hata tukilala na njaa
Kila saa nakuona mpya mamy
Tena raha huku ninavimba kitaa
Unang’aa hata kwenye giza mamy
Basi tulia eeh kama maji kwenye mtungi
baby
Nitakulea eeh ili mradi unipe heshimaa
Kama mboleaa eh nitatia ili unawili sana
nimekuzoea eeh ukiniacha itaniuma sana
Chorus
Ooh I wish angekuona maaa
Mama angefurahi mama maaa mama
Eeeh mama yangu mama maaa
Mama angefurahi mama maaa mama
Verse 2
Navyo mjua mama angekupa vitenge
Tena bila iyana na kikapu cha embee
Ana viwanja mamaa agekupa ujenge
Na ukirudi kwangu upate mwogo wa
chang’ombe
Umeondoka mama imekuja zawaadi
Nabaki nalia nalia sina budi
Fikra tupa mwana naogopa dhambi ila
Nakuombea ulale pema kwa bosi tuliaaa
Kama maji kwenye mtungi baby nitakuleaa
eh
Ili mradi unipe heshima
Kama mboleaa eh nitatia ili unawili sana
Nimekuzoea eeh ukiniacha itaniuma sana
Chorus
Ooh I wish angekuona maaa mama
Angefurahi mama maaa mama
Eeeh mama yangu mama maaa mama
Angefurahi mama maaa mama
Wuwuwuwu uuuh…maaa mama
mamamama… maa mama
I wish angekuepo mama maaa mama
Nonononono… maa mama
Uko wapi mama
mamamamamamamamamama…
nakukumbuka mi mwanao
Eeeh maa mamaa maaa mamaa

»»  Khaligraph Is King,Admits Chiwawa #ChiwawaReBirth

Aslay “Angekuona” Lyrics

Facebook Comments