Chikuzee is Under Wasafi Management

0
71
c2

image

“yes ni kweli tumeingia katika mkataba
na WCB na mkata wetu ni kwa biashara
ya muziki na sio kwamba siwezi
kurecord na studio nyingine…mimi
siko katika orodha ya wasanii wa WCB
Wasafi kwasababu mkataba wangu ni
tofauti na wa wasanii walio kwenye
lebo” Alisema Chikuzee alipokuwa
akizungumza na Dizzim Online.
Hata hivyo Chikuzee amesema kuwa
tayari kuna kazi imekamilika ambayo
imetayarishwa na Manecky kutoka AM
Records na muda sio mrefu kazi
itatoka pindi tu video itakapo kamilika.

»»  Shule Yako By Guardian Angel

Source Dizzim Online

Chikuzee signed the
deal last week. He has started recording and
already he has three singles on the way as he
awaits for an opportunity to collaborate with
Diamond and other artistes signed within the
label during that period,” said Musa
Babaz.Diamonds’ brother Romy Jones signed
the deal on his behalf as the bongo star had
left for Muscat, Oman for a gig.
image

»»  Ray C Drops Her #Unanimaliza Video

Chikuzee becomes the fourth artiste to be
signed by Diamond after Riche Mavoko ,
Harmonise and Ravanny who have all released
hit singles since joining the label.

Source All Africa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

CommentLuv badge