Entertainment

Digiri Lyrics By Willy Paul

image

DIGIRI LYRICS BY WILLY PAUL
Intro
Binguni hakuna digiri, mungu wangu hana
digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve
hawakuwa na digiri… Some of you call me
WILLY PAUL WILLY POZZE, some of you call
me just POZZE
heaven material!!!
Verse 1
Leo nina mambo, nitatoboa mambo,
natakasema mambo, kama Rambo, sio Rambo
kanambo, Rabuka mambo,
Mambo×3
Ukiniyima gilasi, hio sio mambo bali ni diambo
na italeta mambo,
Tuonyeshane upendo simungu alisema ati
tuwe na upendo, sio vita ka mama wa kambo.
Wengine wajidai ati wamesoma sana, waezi
shirikiana na watu wajasoma,
Wacha nikusho binguni hakuna shule sote tuko
equal. Hio tu ni mambo.
Pre-chorus
Wacha nikusho siri moja, huitaji awards kuingia
heaven, wacha nikusho siri moja huitaji digiri
kuingia heaven×2
Binguni hakuna digiri, Mungu wangu hana
digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve
hawakuwa na digiri ( digiri ×6)
Verse 2
Mmmmh Njeri usimulenge omondi, mmmh
Njeri, usimulenge!! Unaweza mlenga kumbe
unaye mlenga ndiye yule mmoja umekuwa
ukimsaka, na itakuwa ni mambo, na mambo ni
mambo,
Alisema atakuja in so many forms, hautaji
kujaza anyforms, ukitenda mema…
atakuchukuwa bila uniform.. Yeye hananga
mambo, ukiwa na jambo, wewe mtafute,
atakupa kamambo,
Pre-chorus
Wacha nikusho siri moja huitaji awards kuingia
heaven, wacha nikusho siri moja, huitaji digiri
kuingia heaven ×2
Binguni hakuna digiri, Mungu wangu hana
digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve
hawakuwa na digiri ( digiri ×6

Facebook Comments
»»  Willy Paul Sets A Record In One day,I do