Investigation Reveal Wema Sepetu Uses Drugs

Investigation Reveal Wema Sepetu Uses Drugs

Entertainment, Latest News, News

MKOJO WA MREMBO WEMA SEPETU UNA BANGI-UCHUGUZI
MKOJO wa msanii wa filamu na Miss Tanzania wa zamani, Wema Sepetu ulikutwa na chembe chembe za dawa za kulevya aina ya bangi. Hayo yalielezwa agosti 1 mwaka huu na Mkemia kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Elias Mulima (40) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Alisema uchunguzi wa sampuli ya mkojo wa Wema uliowasilishwa kwao ulikuwa na chembe chembe za dawa za kulevya aina ya bangi. Mulima ni shahidi wa kwanza katika kesi ya Wema kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi Februari 4 mwaka huu Dar es Salaam.

»»  Upcoming Kilifi County Peace Awards

Author

Back to Top