Entertainment

Joh Makini “Kata Leta Lyrics ” FT Davido

Joh Makini “Kata Leta Lyrics ” (ft Davido)

Intro
Its davido baddest
Joh Makini King
Everybody (A city in da house)
Feeel me saaaay
Wooo iyaaa eeh say
Wooo iyaaa eeh ooh say
Wooo iyaaa eeh say
Wooo iyaaa eeh
Chorus
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Show kali eeh
Show kali aaah
Show kali eeh
Show kali aaah
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Verse 1 -Joh Makini
Let me handle ma business mama yo
mabusiness
Napamabana juu yako mama niko busy
Nipo na davido hii single
Chakula ya kingkong ngogingo
Naficha mwenyewe kibindo
Baba na towoo mitindooo
Wowooo mama la towowowww
Mauno you know ma umo umo
Kaa umo umo Na kaa umo umo
International numero uno
Nina ugurumo msondo kiburuni michongo
Kigururusi ndondo ukiniruhusu uondo
Niko deeper kinondo
Nikikita kimondo
Sihalalishi magendo
Wooo iyaaa eeh
Kihalali tu ni pendo
Chorus – Davido
Wooo iyaaa eeh
Wooo iyaaa eeh
Wooo iyaaa eeh
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Show kali eeh
Show kali aaah
Show kali eeh
Show kali aaah
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Verse 2 – Joh Makini
Kataa uduu uniletee usister sister
Kataa useja tueleke u mrs mr
Na kule kitaa nilikataa aah ngeta
Look at me am getting paper
Leta kazi kibarua andikaga letter
Usilete uzuri leta vizuri binti
Tele ma na kulima na mindizi binti
Kawatell maufundi niko ndani ya viti fiti
Vile nimesakata kwa pitch
Jogoo lishakolea tuliza mbio mtetea mama
ela
Inatabia ya kupotea kama sukari
Inatabia ya kukolea
Baada ya vyakula unipe ile chakula
Uniachie alama shingoni kama dracula
Mimi ni rap king i still pull up
Ma soksi makofi my boo my trophy
Chorus – Davido
Wooo iyaaa eeh
Wooo iyaaa eeh
Wooo iyaaa eeh
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Show kali eeh
Show kali aaah
Show kali eeh
Show kali aaah
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta

Comments

comments