Mzazi Willy M Tuva Azidi Kukuza Vipaji

Mzazi Willy M Tuva Azidi Kukuza Vipaji

Entertainment

Mkuu wa kitengo cha Mseto East Africa Mzazi Willy M Tuva amechukua mkondo mpya ili kukuza vipaji vya wasanii changa kwenye sanaa ya muziki nchini Kenya.

Mzazi Willy M Tuva ameahidi kuzawadi wasanii ambao wako tayari kujifunza jinsi ya kucheza gitar.Kwa jumla kunahitajika washindi 50.Hii ni kwa juhudi murwa za kuukuza mziki wa Kenya.

Ili kushiri shindano hili,unahitajika kujirokodi ukicharaza guitar na kisha kutag hiyo video yako kwa ukurasa wa instagran wa Mzazi Willy Tuva au ukurasa wake wa facebook Mzazi Willy Tuva.

»»  This Is How Rayvanny Was Received After Winning BET Award

Mshindi ana nafasi bora zaidi ya kufanya collabo na msanii yoyote tokea nchini kenya.

Mzazi Willy Tuva alikuwa na haya ya kusema kulingana na taarifa hii,“Are you an aspiring musician? Are you
talented? Can you sing or rap? Do you want to
record? Do you need a guitar? Basi nakutafuta.”

Comments

comments

Author

Dex Antikua

||Radio Presenter||Pro-Blogger||

Leave a comment

CommentLuv badge

Back to Top