Roma Mkatoliki – Zimbabwe

Roma Mkatoliki
“Zimbabwe”

Intro

Wengi mlijiuliza walioniteka ni maaskari?
Mkanitafuta vituo vyote Cetral hadi sitaki
shari,
Wakasema hawajui nilipo mama alienda
hadi monjwari,
Daaah!,yakaisari mwachie kaisari,
Machozi yenu yatalipwa mimi nafunga na
kusali
Bridge
Imba roma Imbaaa
Imba roma Imbaaa,
Imba roma Imbaaa,
Verse 1
Mungu wa Paulo ndio mungu wa Daudi,
Na ndio Mungu wa John Mnaemuita Yohana
wa wayahudi,
Mwanangu alimuuliza mama “Baba lini
atarudi”?,
Na mke wangu aliwaliza kuwashukuru
sinabudi,
Kwa hamu ya kuwa mimi sio tu rapper,
Mimi ni baba wa Familia,
Nawatoto mahitaji nawapa kama isemavyo
biblia,
Kipi bora? Nife mseme nilikufa kiharakati?,
Siogopi kufa ila nawaachaje wanaobaki?,
Je! Nani kati yenu mwanangu atampa
malezi?,
wapi atapata mahitaji?,wapi atapata
mapenzi?,
Mama nae wapi atapata mahitaji na malezi?,
Na report ya upelelezi vipi akiiteka
mtekaji?,
Je! Kaburi langu mtalipalilia majani,
Nimeumwa hamjakuja kuniona,mnangoja
mje msibani?,
Nilipokuwepo sikuwa najua hii sanne,hii
saanane,
Nilichohitaji nitoke mzima na ndugu zangu
tuonane,
Nimechapwa Mijeledi nimevunjwa bila
huruma,
Asante mliopaza sauti nimeiona nguvu ya
umma,
Sikutatu nimefungwa macho,mikono
imefungwa nyuma,
Chorus
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele
mama we),
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele
mama we),
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele
mama we),
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele
mama we),
Bridge
Imba roma Imbaaa,
Oo,Eee mama(sema baba wewe)
Verse 2
Nasimama nanaunga hoja kwenye uchumi
wa Viwanda,
Nanasi linauza msoga,tikiti linaoza shamba,
Walioniteka hawakuja na noah,Ni uvumi na
visanga,
Ila kutekanateka huu ni uhuni wa kishamba,
Weka Bunduki chini si tubishane kwa hoja,
Maana sote lengo letu kuijenga Tanzania
moja,
Mi-sikuona nyota kwa shoulder,Ila najua
wewe ni soldier,
(Inshallah)Ulikuja mwenyewe ama ulipewa
order(hewallah),
Aminini siku hazigandi,wewe ni yanga mimi
simba,
Kuwa mpinzani sio dhambi,
Ipo siku mtawala atakuwa mpinzani,
Simba akichukua kombe sijui atapona nani,
Na kuna mbunge alisema eti nimemtukana
mkuu,
Utahukumiwa na mkono wa
Mungu,namshtakia aliye juu,
Kwanza lini,na kwanini mimi nimtukane
mjomba,
Umepewa gari ya wagonjwa,mi Tanga
wananijalia bomba,
Mimi mbarikiwa na nikifa kuume kwa baba
nitaketi,
na ni mtu wa watu that is why,lilisimama
bunge la bajeti,
Kunijadili mtanzania kuwa makini pia
makinikia nayatungia,
Mapini Piyaa,
Nilitabiri utaitwa Raisi kipindi unaitwa
waziri,
Japo maisha sio rahisi japo ila pongezi
unastahili,
waliosadiki roma ataonekana kabla ya
jumapili,
God bless imetimia injili nilio itabiri,
Chorus/Hook
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele
mama we),
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele
mama we),
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele
mama we),
Nakwendaaa Zimbabwe(Zimbombo Iyelele
mama we),
Outro
Imba roma(ee ee roma),
Zimbomboo we simama(ee ee roma),
sema baba wewe(ee ee roma),
iyelelel mama wewee(zimbombo we
simama),
watakwenda,uko zimbabwee,
ee ee roma(iyelele mama wewee)

»»  Roma Mkatoliki Press Release
About Dex Antikua 272 Articles
||Radio Presenter||Pro-Blogger||