Willy Paul Azuru Tanzania

0
6

Ikiwa ulidhani msanii wa Kenya Willy Paul ataaisha kuzungumziwa basi umenoa.

Baada ya kuachia wimbo wake mpya na msanii tokea Jamaica,Alaine,Willy paul amepenya nchini Tanzania kusambaza wimbo huo.
image

Wimbo “I DO” Umefanya vizuri sana na kupokelewa kwa hisia mseto.Chini ya wiki moja,wimbo wa Willy Paul umejizolea views zaidi ya millioni moja.Hij ni rekodi ambayo haijawekwa na msanik yoyote tokea nchini Kenya.

»»  Acha Nikae Kimya Lyrics By Diamond Platinumz

Pamoja na kufanya media tour nchini Tanzania,Willy paul alifika katika ofisi za Wasafi Records.
image

Kwa muda mrefu,Willy Paul amekuwa akitamani kufanya kazi na Rais wa wasafi,Diamond Platinumz.Chochote chaweza tokea kutokana na mkutano ambao Willy Poze alifanya na Wasafi.

»»  Why Kenyas Want Jaguar Arrested

Je ni Kweli Willy Paul Msafi humwiga Diamond Platinumz kwa kila kitu kuanzia mavazi hadi mtindo wa uimbaji? Hili ni gumzo la kila siku mtandaoni na halitaisha ivi punde.

Una lolote la kuongezea ?

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

CommentLuv badge